Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Namuona Mwanamuziki Harmonize Ndani ya Diamond Platnumz

Namuona Mwanamuziki Harmonize Ndani ya Diamond Platnumz

Picha
Moyowe ya Afande Sele akiwa na Jay mo moja kati ya nyimbo zangu chache ambazo huzisikiliza mara nyingi kwa siku. Moja ya kati ya maneno yenye busara aliyosema Afande Sele ni “Hii ni fani na msanii na msanii siko mwenyewe ili nifanikiwe inahitaji nikosolewe na inapobidi nisifiwe”  Kwa wafuatiliaji wa muziki hakika Harmonize si jina jipya katika masikio yao, Aiyola ni wimbo wake uliomtambulisha kwenye ramani ya bongo fleva yani muziki wa kizazi kipya mwaka 2015. Aiyola ni wimbo ulifanyika katika studio za WCB ambazo zipo chini ya msanii Diamond Platnumz ambapo Rich Mavoko na Ray Vanny ni miongoni mwa wasanii waliopo chini ya Label hiyo ya WCB.  Inadhihirika katika maisha ya binadamu kabla ya kutokea chochote basi lazima kuwe na ishara yoyote ile, kabla ya kutoka kwa Harmonize hakika ishara zilikuwepo hasa kwa wale wanatumiaji mtandao wa picha Instagram. Tulipata kuona tambo za msanii Diamond pamoja na wapambe wake wakiwa wanampamba na kum...