Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Nick Minaj

Nick Minaj, Tyga, Ice Cube kwenye movie moja? jibu ni Yes!! itaanza kuoneshwa leo Cinema….(+TRAILER)

Picha
Barbershop ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo  wameshiriki mastaa wa kimarekani akiwemo, Nick Minaj, Common, Tyga, Ice Cube, Eve na wengineo.Kama vipi ungana na dunia nzima ukaangalie movie hiyo mpya pamoja na movie zingine. Barbershop – The Next Cut – Official Trailer Criminal Unamkumbuka staa Kevin Costner aliyewahi kujichukulia umaarufu kwenye movie The post  Nick Minaj, Tyga, Ice Cube kwenye movie moja? jibu ni Yes!! itaanza kuoneshwa leo Cinema….(+TRAILER)