Nick Minaj, Tyga, Ice Cube kwenye movie moja? jibu ni Yes!! itaanza kuoneshwa leo Cinema….(+TRAILER)

Barbershop ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo  wameshiriki mastaa wa kimarekani akiwemo, Nick Minaj, Common, Tyga, Ice Cube, Eve na wengineo.Kama vipi ungana na dunia nzima ukaangalie movie hiyo mpya pamoja na movie zingine. Barbershop – The Next Cut – Official Trailer Criminal Unamkumbuka staa Kevin Costner aliyewahi kujichukulia umaarufu kwenye movie

The post Nick Minaj, Tyga, Ice Cube kwenye movie moja? jibu ni Yes!! itaanza kuoneshwa leo Cinema….(+TRAILER) 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA