Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KAMA HAKUNA ‘MKUBWA KULIKO SIMBA’

KAMA HAKUNA ‘MKUBWA KULIKO SIMBA’, BASI NA UONGOZI HUU UONDOKE MADARAKANI

Picha
Na Baraka Mbolembole Johann Pestalozzi alizaliwa katika mji wa Zurich, Uswisi yapata mwaka 1746. Wazazi wake walikuwa wa asili ya Kiitalia waliohamia Uswisi. Baada ya kufuzu shahada ya sheria katika Chuo Kikuu cha Zuric, Pertalozzi aliamua kuwa mkulima badala ya kufanya kazi aliyosomea. Baadaye kutokana na matatizo ya kifedha aliyoyapata ilibidi aiache kazi hiyo. Mwaka 1773 alianza kazi ya kuwafundisha watoto maskini kwa kuwaleta nyumbani mwake ili kuwasaidia waondokane na hali mbaya kimaisha iliyokuwa inawakabili. Alifikiri kuwa kwa kuwaleta nyumbani angeweza kuwasaidia waweze kujiamini na kujisikia kuwa hata wao ni watu kama wengine. Watoto wale walikuwa wakifanya kazi ya kusokota nyuzi za pamba na wakati huohuo alikuwa anawafundisha hesabu na dini. Kwanza elewa kuwa, elimu ni jumuisho ya maarifa, stadi na mielekeo inayotawaliwa na mila na desturi za jamii. Kwa jumla mtu mwenye elimu ni yule aliye na maarifa, stadi na mielekeo. Wakati wa jioni walikuwa wanafanya kazi mbalimbbl...