Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya TANCDA YAPIMA AFYA ZA WABUNGE DODOMA

TANCDA YAPIMA AFYA ZA WABUNGE DODOMA

Picha
 Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma leo.  Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha Shao bungeni Dodoma  Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Sokombi akipimwa afaya na Muuguzi kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Asha Shao. Katikati ni muuguzi mwingine Christina Chamwela  Mhudumu wa Afya wa Hospitali ya Dodoma akimpima kimo Mbunge  Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Costantine Kanyasu akipimwa mapigo ya moyo  Mbunge Kanyasu akipimwa kimo  Mbunge wa Jimbo la Nachingwe, Hassan Masala akipimwa kimo  Mbunge wa Jimbo la Makambaku, Deo Sanga akipimwa afya Baadhi ya wabunge wakipata ushauri nasaha PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG