Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Hizi ni Dalili za Mwanamke Anayekupenda Kwa Dhati Toka Moyoni

Hizi ni Dalili za Mwanamke Anayekupenda Kwa Dhati Toka Moyoni, ila Hawezi Kukuambia

Picha
Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda ila anagoma kukwambia tu.  1. KUKUTEGA ILIKUJUA THAMANI YAKE KWAKO  Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au la mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake.  2. KUPENDA KUCHEKA TENA MUDA MWINGINE KWA NGUVU  Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli.  3. WIVU  Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi na hupenda yale afanyiwe yeye tu hata kama sio mpenzi wako.  4.HUKUMB...