Aina Mpya ya Uwizi wa Magari Dar es Salaam...Soma Hapa Uwe Makini
Gari imeibiwa jana , 23/4/2016 Shopper plaza- Mikocheni, mida ya saa 9 mchana.Ni Volkswagen Tourge, Blue color... Kama umeiona au unajua ilipo au unajua chochote tafadhali piga number hii +255 715 066 278 au toa ripoti polisi. . Hii story ntaiandika in full ili na wengine muwe makini mnapokuwa mnauza magari. Dada alieibiwa alitaka kushare ili isije kumtokea mtu mwingine. Na tafadhali kama unajua lolote kuhusu hili gari pls piga 0715 066 278 . Story iko Hivi. Gari ilipostiwa www.kupatana.com . Jumamosi akapigiwa simu na muhindi Kuwa kaipendaKufika muhindi akampigia akasema yuko busy Ila Fundi wake ataangalia gari, basi Fundi akafika akaangalia gari akaongea na muhindi akaondoka. Baadae accountant akampigia wakutane waangalie contract. Accountant kufika akatoa mkataba feki then akamuuliza Fundi si alitest drive gari? Akasema Hapana aliangalia tu. Basi akajifanya kupanick Yani hajatest drive ?akampigia muhindi, muh...