Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya STAA WA MOVIE NIGERIA AJIFUNGUA MTOTO WA TATU

STAA WA MOVIE NIGERIA AJIFUNGUA MTOTO WA TATU

Picha
Staa wa movie toka Nigeria ni staa Mercy Johnson ni moja ya mastaa ambao tuliwafahamu siku nyingi sana kwa wale watu wanaofatilia movie… kwa kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba, mrembo huyo aliwahi pia kuwa kwenye movie moja na marehemu Steven Kanumba ‘ Dar 2 Lagos ‘. Niliwahi kukusogezea stori kwamba mrembo huyo ni mjamzito na stori hiyo ikaonekana kama kuna watu waliona hafatilii utaratibu wa uzazi wa mpango, kwa vile alikuwa na ujauzito wakati mtoto wake wa mwisho alikuwa na miezi sita tu wakati huo. Majibu yake yalikuwa haya wakati ule >>> ‘ Ninatarajia kujifungua mtoto wa tatu, mimi nimeolewa na ni mtu mzima kwa hiyo watu wasiulize kwa nini… najua umuhimu wa kupishanisha muda wa kujifungua watoto, lakini nina uhuru wa kuamua kuhusu maisha yangu… ‘- Mercy Johnson. Mercy na mume wake Prince Odi Okojie wakiwa na mtoto wao Hospitali baada ya kujifungua. Hongera kwake mwigizaji Mercy Joh...