Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WEMA Sepetu Aamua Kufunga Duka lake la Kuuza Lipstick za Kiss by Wema Sepetu...Afunguka Sababu za Kufunga Duka Hapa

WEMA Sepetu Aamua Kufunga Duka lake la Kuuza Lipstick za Kiss by Wema Sepetu...Afunguka Sababu za Kufunga Duka Hapa

Picha
Wema Sepetu Amefunguka haya kuhusu Kufunga Duka lake la Kuuza Lipstick za Kiss by Wema Sepetu lililoko Mwenge... Wemasepetu #KissByWemaSepetu ndio habari ya mjini na nimefarijika kuona jinsi mnavyoniunga mkono...nashukuru sana! Sasa kwasababu mawakala ndio njia haraka na nafuu zaidi ya kuwafikishia KISS popote pale mlipo, kuanzia mwezi huu March 2016 tunaweka nguvu zaidi katika kuongeza na kuwahudumia mawakala. Kwa mwendo huo basi tunabadilisha mfumo wa biashara namna hii: 1) TUNAELEKEZA NGUVU ZOTE KWENYE BIASHARA YA KISS. Hii ni bidhaa ya Kitanzania na kwa uzalendo, inabidi tuikazie buti hadi nayo ije kuuzwa nchi za nje kama vile bidhaa za nje zinavyouzika kwetu. 2) MAUZO YA REJA REJA HAYATAFANYIKA DUKANI KWANGU TENA. Duka litageuzwa kua ofisi ya mambo mengine kuanzia kesho ili kuwapisha mawakala waliotuzunguka, kusiwe na mgongano kibiashara kati yao na sisi. SISI TUTABAKI KUUZA KWA MAWAKALA TU NA WAO WATAWAUZIA NYIE. Vitu vingine vyote VINABAKI VILE VILE! Bei ya jumla bado el...