Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WAZIRI NAPE AONGOZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI LINDI VIJIJINI

WAZIRI NAPE AONGOZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI LINDI VIJIJINI

Picha
Viongozi mbali mbali wakiwa wamesimama tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru katika wilaya ya Lindi Vijijini Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Bw. George Jackson kitaifa akizindua mradi wa maji katika shule ya msingi Mchinga I. Mwenge wa Uhuru ukiwasili kwenye uwanja wa mpira wa Mchinga I,wilaya ya Lindi vijijini ambapo ulizindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika Majimbo mawili wa wilaya hiyo, jimbo la Mchinga na jimbo la Mtama. Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda wakiwaongoza waongoza Mwenge wa Uhuru kitaifa kupita juu ya daraja lililofunguliwa rasmi na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Daraja hili linawaunganisha wakazi wa Mchinga II na Mchinga I. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya kata ya Mnonela wakihushuhudia Mwenge wa Uhuru kwa kuushika ulipowasili shuleni hapo jimbo la Mtama , Lindi Vijijini. Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamad...