Mange 'Sidhani Kama Kuna Rais Aliechambwa na Kutukanwa Matusi ya Nguoni Kama JK..Tanzania itamkumbuka For Freedom of Speech'8
Insta Blogger Maarufu Mange Kimambi ameendelea kuliongelea suala la freedom of speech kupitia mitandao..Amemzungumzia Rais Mstaafu Jakaya kama ifuatavyo.. Mangekimambi _ Na yooote aliyofanya JK one thing Tanzania itamkumbuka JK for ni Freedom of speech! Sidhani Kama kuna Raisi alichambwa na kutukanwa matusi ya nguoni Kama JK, Yani ilikuwa kama tunaishi Marekani au nchi za Ulaya kumbe TZ. Sometimes mpaka freedom ilipitiliza Ila jamaaa alikuwa Kama haoni anavyochambwa na kipindi Cha 10 years sikuona mtu kashikwa kwa kumchamba JK.. JK mpaka aliwekwa zeutamu na kina Mange Kimambi ?? Ila Yule zeutamu jamani alijua kutikisa nchi aiseee!!🏽🏽. Yani ilibidi media iingilie kati kuwasema usalama why wanaruhusu Raisi anadhalilishwa vile ndo usalama kumfatilia mwenye blog, Ila JK wala hakuwa na time yeye alikuwa zake anganiiiiiiiii. . .JK alituacha tuchongeeeee mpaka makoo yakauke yeye yuko zake vacation anakula bata maulaya hukooo .. Ila JK kibokooooooo. Ila nimeami...