Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Full Story Ujambazi wa Kivita

Full Story Ujambazi wa Kivita

Picha
DAR ES SALAAM! Simulizi ya majambazi kuvamia Benki ya Access iliyopo Mbagala ya Rangi Tatu jijini Dar, Ijumaa iliyopita bado inasikika miongoni mwa jamii ikisema ilikuwa vita kamili huku masikitiko makubwa yakiwa kwa watu watano waliouawa ukiweka kando majambazi watatu ambao waliuawa na polisi.  Hali ilivyokuwa baada ya tukio hilo la kutisha. ALIANZA KUINGIA MWANAMKE Hamis, mmoja wa majirani wa benki hiyo aliyekoswakoswa risasi, alisimulia alichokiona mwanzo hadi mwisho ambapo alikuwa na haya ya kusema:  Wananchi wa Mbagala wakitaharuki baada ya tukio hilo. “Ile ilikuwa ni vita kabisa! Ni vita jamani si ujambazi ule. Ilikuwa majira ya saa nane na nusu, nilimwona mwanamke mmoja akiingia benki. Huyu mwanamke nasikia ndiye alikuja kufanya ukaguzi wa mwisho. Alikuwa  kundi moja na majambazi.  Gari lililopigwa risasi kwenye kioo chake. “Hata hivyo, tuliambiwa kuwa baadhi ya wateja walimshtukia mwanamke huyo kwa sababu alipoingia, alisimama, akaangaza-a...