Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAMBO MATANO NILIYOJIFUNZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUELEKEA SAN SIRO

MAMBO MATANO NILIYOJIFUNZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUELEKEA SAN SIRO

Picha
Na Brian Marian Mrope(Gascoigne Brian) Diego Simeone mmoja kati ya viumbe wachache sana dunianiambao wanaweza kuwahi kuuona ufalme wa mbingu kwa hikianachotupa. Anajua sana kucheza na wakati wa mwanadamu hasa linapokuja suala la (Knockout stage) hatua za mtoano. Mshairi mmoja nchini uingereza aliwahi kusema Bora saa tatu mapema mno kuliko dakika kuchelewa mno. Huyu wa juu achana na vurugu zake pembezoni mwa uwanja jaribu kuuona ubunifu na ubora anaotupa kila mwishoni mwa msimu ni ubora ulioje! Hata safari yake ya kuelekea San Siro haikuwa rahisi, aliweza kupanda na Alteza katika milima ya Uluguru na akafanikiwa katika safari yake ya kuelekea San Siro. Ni wanadamu wachache sana wanaoweza kufanikiwa katika hili. Hasa tukiangalia na ubora wa kikosi chake, kilichojaa ubunifu ndani yake ni wakati wa kupumzika zako Ibiza ukisubiri kuthibitisha ubora wako pale San Siro. Zinedine Zidane haikuwa rahisi kuweza kuamini ulichonacho, taratibu unaanza kubaki ndani ...