Babu Seya, Papii Kutoka Jela
Babu Seya, Papii Kutoka Jela Global Publishers / Global Publishers / 16 minutes ago Elvan Stambuli, RISASI DAR ES SALAAM: Mrithi wa kazi ya utabiri za marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein amesema mwanamuziki aliyefungwa jela maisha, Nguza Viking “Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ watatoka jela kama alivyowahi kutabiri baba yake. Marehemu Shekhe Yahya. MAALIM HASSAN AIBUA MAZITO Akizungumza na gazeti hili juzi, Maalim Hassan alisema baba yake aliwahi kutabiri kuwa mwanamuziki huyo na mwanaye Papii watatoka jela licha ya kufungwa maisha jela, naye ameona kuwa utabiri huo bado upo palepale. “Unajua tabiri inapofanyika siyo lazima itimie siku ileile au mwaka uleule, unaweza kudumu kwa miaka hata hamsini lakini ipo siku hutimia na watu kuukumbuka, “ alisema Maalim Hassan. WATU HUWAULIZIA Akaongeza: “Watu wengi wamekuwa wakiniulizia juu ya utabiri wa marehemu Sheikh Yahya kuhusu Babu Seya, jibu ni hili kw...