Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya David Kafulila Afunguka Haya Baada ya Kushindwa Kesi yake leo

David Kafulila Afunguka Haya Baada ya Kushindwa Kesi yake leo

Picha
David (NCCR Mageuzi) Kafulila kayaongea haya Baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kutoa maamuzi ya Kesi ya kupinga Matokeo ya uchaguzi aliyokuwa Ameifunguwa na hivyo kumpa ushindi Hasna Mwilima( CCM).