Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Amfuta Machozi Millen Magese Mapambano Dhidi Ya Endometriosis ( Kuziba Mirija ya Uzazi )

Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Amfuta Machozi Millen Magese Mapambano Dhidi Ya Endometriosis ( Kuziba Mirija ya Uzazi )

Picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mama Samia Suluhu amemfuta machozi Mwanadada, Happiness Millen Magese ambaye ni shujaa wa kipekee kutoka Afrika dhidi ya mapambano ya ugonjwa wa Endometriosis. Mama Samia amechukua hatua hiyo jioni ya 15 Aprili 2016 wakati wa hafla maalum ya kumkabidhi tuzo. Katika kilio chake hicho, Millen kimemfanya Mama Samia kumfuta machozi na kumpa kitambaa, mwanamitindo huyo huku akimweleza kuwa, Serikali itaendelea kushirikiana naye kwani tatizo hilo si la Millen pekee bali ni kwa wanawake wengi hapa Tanzania. Mama Samia alimwambia kuwa, tatizo alilonalo la kuziba kwa mirija ya uzazi litapata ufumbuzi na kutaka asilie kwani Serikali inania njema kwa watu wake hivyo wataendeleza juhudi Zaidi huku akifungua milango na mwanadada huyo. Suluhu alisema kuwa hata yeye tatizo kama hilo lipo katika familia yake, lakini ana amini kwa ushirikiano wa mwanamitindo huyo tatizo hilo linapewa uzito.  Alisema kuwa ni kitu kilichokuwa kikimuumiza s...