EXCLUSIVE VIDEO IDRIS SULTANI AMFANYIA WEMA SEPETU TUKIO LA AINA YAKE BAADA YA KUSIKIA WEMA KUTUKANWA NA HARMONIZE
Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona video hiyo kwa mara ya kwanza. BOFYA HAPA KUONA VIDEO HIYO