Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Hizi Hapa Sababu Timu ya Toto Africa Kukaza na Kuinyima Point 3 Timu ya Simu Jana

Hizi Hapa Sababu Timu ya Toto Africa Kukaza na Kuinyima Point 3 Timu ya Simu Jana

Picha
Kocha wa Toto Africans John Tegete amesema timu yake inacheza soka linaloshabihiana na la Simba kwa kiasi kikubwa lakini wachezaji wake wananguvu na ndiyo siri ya kuichapa Simba katika mchezo wao wa Jumapili.  Simba imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Toto na kuziachia pointi tatu muhimu ambazo kama wangezipata zingewapandisha kileleni mwa ligi na kuipiku Yanga kwa ponti moja mbele.  “Mfumo wanaoutumia Simba ndiyo tunaoutumia sisi kucheza, wao wanapenda kuchezea mpira na sisi tunapenda kuchezea mpira lakini sisi tunawazidi ujanja kwasababu sisi tunafanya mazoezi ya nguvu kwasababu wachezaji wetu wananguvu za kutosha. Wachezaji wa Simba hawana nguvu ndiyo maana tunawafunga”, anasema John Tegete ambaye ni baba mzazi wa mshambuliaji wa Mwadui FC Jerry Tegete.  “Wachezaji wangu wamefanya kazi niliyowatuma mchezo huu ulikuwa kama fainali kwetu kwasababu tulikuwa tunajua tunacheza na timu yenye jina kubwa, siyo timu timu kubwa kwasababu timu zote zipo ...