Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE;RATIBA KAMILI HII HAPA

NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE;RATIBA KAMILI HII HAPA

Picha
Droo ya Nusu Fainali ya UEFA Europa League imefanyika muda mchache uliopita na tayari timu nne zilizoingia katika hatua hiyo zimepangwa jinsi zitakavyokutana. Villarreal imepangwa kuanza mechi ya kwanza ya hatua hiyo kwa kuikaribisha Liverpool, Shakhtar Donetsk itacheza dhidi ya Sevilla ya Hispania wakati ambapo Shakhtar Donetsk itacheza dhidi ya Sevilla. Nusu fainali hiyo inatarajiwa kuchezwa Aprili 28 wakati ambapo mechi za marudio za hatua hiyo zitachezwa Mei 5, 2016. Fainali ya michuano hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 18, 2016 kwenye Uwanja wa St. Jakob-Park jijini Basel nchini Switzerland.