Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya aomba radhi

Watanzania wamjia juu Mkenya, aomba radhi

Picha
Watanzania wamemjia juu Mkenya Rosemary Odinga ambaye pia ni mtoto wa mwanasiasa mkubwa wa nchini kenya Raila Odinga, ambaye ametoa taarifa za bonde la Olduvai Gorge kuwepo nchini Kenya, na kumtaka kuomba msamaha na kusahihisha kauli yake. Wakiendesha kampeni hiyo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa maoni kwenye picha yake, kumeibua hisia kubwa baina ya jamii ya Wakenya na Watanzania, huku Watanzania wakidai Wakenya wanawachokoza. onesmo_killenga: Na hili tutalifanya fundisho kwenu omba msamaha mapema @rosemaryodinga la sivyo tutachukua hatua kama wananchi wa nchi yetu na hamta amini tutasusia bidhaa zenu zilizopo nchini ili tuendelee kuheshimiana hubacaren: Rosemaryodinga you still remain silent? ignoring this or what??? umewakosea watanzania wote na you should apologize publicly or you will just tarnish your image. esteriche: Dd kasema oldvai ipo kenya xa ona watanzania wanavyomfrahisha ...atafrahiii kwa kweli hizo comments watanzania katika ubora wao na masters za kutetea vya k...