Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Serikali Yakanusha Habari Zilizoandikwa na Gazeti la Kiingereza Kuwa Rais Magufuli Anaongoza Nchi Kwa Msukumo

Serikali Yakanusha Habari Zilizoandikwa na Gazeti la Kiingereza Kuwa Rais Magufuli Anaongoza Nchi Kwa Msukumo

Picha
SERIKALI imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotpka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma. Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively” Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu  Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa alisema taarifa hiyo haikuwa na uzalendo na amewataka wanahabari kuwa makini na habari zenye mlengo wa kupotosha taifa. “Nawaombeni wanahabari wenzangu kuweni makini na taarifa zenye mlengo wa kupotosha umma”  alisema Zamarad. Akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uchumi Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Daud Biganda alisema taarifa hiyo siyo sahihi na imelenga kupotosha na inavuruga ukweli kwani Tangu Rais Dk.Joh...