Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Singida akiwa njiani kuelekea jijini Arusha kwa barabara

Rais Magufuli Aongea na Wananchi wa Singida akiwa njiani kuelekea jijini Arusha kwa barabara

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi  wa Mji wa Singida, wakati aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea Jijini Arusha kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Dodoma, leo Mei 6, 2016.