Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KONGAMANO LA KUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KUFANYIKA KESHO

KONGAMANO LA KUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KUFANYIKA KESHO

Picha
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed kamilagwa(kushoto) akimuonesha imam qasim ibn ali khan baadhi ya vivutio vilivyopo nchini kupitia jarida  Imam Qasim Ibn Ali Khan (katikati) akibadilishana mawili matatu kwaajili ya kongamano la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani, kulia kwake ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed kamilagwa na kushoto kwake ni mjumbe wa kamati hiyo Juma Nchia   Imam Qasim Ibn Ali Khan pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kongamano la kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani mohamed kamilagwa.  Mke wa imam hasaina m.khan (wakwanza kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwl. j.nyerere akiwa na baadhi ya wanakamati waliojitokeza kumpokea alipowasili nchini tanzania.  Imam Qasim Ibn Ali Khankutoka usa akiwa pamoja na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani mara baaada ya kuwa...