Dawa ya Asili inayotibu Kikohozi
23 Dawa ya Asili ya Kikohozi Kitunguu Swaumu + Asali Menya punje 3 au 4 za kitunguu swaumu, kata vipande vidogo vidogo na uchanganye kwenye kikombe kimoja cha asali na uuache mchanganyiko huu kwa usiku mzima. Chukua kijiko kidogo kimoja cha mchanganyiko huu na ulambe mara 2 kwa siku mpaka upone. Bonyeza picha moja moja kuiona katika ukubwa wake kamili. WhatsApp +255784699901