Dawa ya Asili inayotibu Kikohozi
Dawa ya Asili ya Kikohozi
Kitunguu Swaumu + Asali
Menya punje 3 au 4 za kitunguu swaumu, kata vipande vidogo vidogo na uchanganye kwenye kikombe kimoja cha asali na uuache mchanganyiko huu kwa usiku mzima.
Chukua kijiko kidogo kimoja cha mchanganyiko huu na ulambe mara 2 kwa siku mpaka upone.
Bonyeza picha moja moja kuiona katika ukubwa wake kamili.
WhatsApp +255784699901
Maoni
Chapisha Maoni