MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI, DODOMA.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Mtama akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.


Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Mlimba, Mhe. Susan Kiwanga akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.


Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.


Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo

PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA