Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kwa shabiki wa Man Utd mwenye wasiwasi na fainali ya kesho – hizi ni rekodi za LvG kwenye fainali

Kwa shabiki wa Man Utd mwenye wasiwasi na fainali ya kesho – hizi ni rekodi za LvG kwenye fainali

Picha
Kwa wale mashabiki wa Manchester United wanahofia matokeo mabaya kwenye mchezo wa wikiendi hii wa fainali ya FA Cup – wanaeza kupata ahueni kwa kuangalia rekodi ya Louis Van Gaal kwenye hatua ya fainali.     United wanapewa nafasi kubwa ya kuifunga Crystal Palace – klabu ambayo haijawahi kushinda kombe lolote kubwa na hii ndio mara yao ya pili kucheza fainali ya FA Cup.  Japokuwa umekuwa msimu mgumu kwa mashetani wekundu – wakishindwa kumaliza kwenye top 4, jambo linalomaanisha watakuwa hawana hali ya kujiamini kuelekea mchezo dhidi ya Palace.  Lakini ukiangalia rekodi ya Van Gaal kwejye hatua ya fainali – unapata picha kwamba mashabiki wa United wanapaswa kuwa na matumaini ya kuondoka Wembley wakiwa washindi.     Wakati akiwa kocha wa vilabu vya Ajax, Barcelona na Bayern Munich  – mdachi huyu ameshiriki kwenye fainali sita za makombe makubwa na amepoteza mara moja tu. Alishinda kombe la ligi la Uholanzi, ...