Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WACHEZAJI WA BONGO MMEJIFUNZA NINI KUTOKANA NA MAFANIKIO YA MA-PRO WA VPL?

WACHEZAJI WA BONGO MMEJIFUNZA NINI KUTOKANA NA MAFANIKIO YA MA-PRO WA VPL?

Picha
Baada ya msimu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kumalizika, tunapata fursa ya kufanya tathmini ya mambo mbalimbali yaliyojiri ndano ya msimu mzima.  leo tutaangalia mafanikio waliyopata wachezaji wa kigeni ukilinganisha na wale wazalendo. Kumekuwa na ongezeko la wachezaji wawili walioruhusiwa kwa mujibu wa kanuni za msimu huu. Awali timu ziliruhusiwa kusajili wachezaji watano wa kigeni lakini sasa wameongezwa hadi saba na hii ilikuwa ni ombi maalum kulingana na madai ya vilabu vinavyoshiriki michuano ya kimataifa. Lakini bado ni vilabu vichache vyenye uwezo wa kuwalipa nyota hao. Simba, Yanga na Azam ndiyo vilabu pekee vilivyoweza kusajili idadi ya wachezaji saba wa kigeni. Tuachane na hayo na turejee kwenye hoja ya msingi ya mafanikio wanayopata wachezaji wa kigeni ukilinganisha na wazalendo. Je wachezaji wetu wa nyumbani kuna kitu wanajifunza? Magolikipa Vicent Agban golikipa wa Simba SC unaweza ukasema amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani amecheza mechi nyingi kuliko ...