Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Maumivu mbalimbali mwilini

Maumivu mbalimbali mwilini

Picha
Ishara za mwanzo kabisa za  asidi  kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu mbalimbali  yanayozidi kujitokeza katika mwili. Kutegemea na kiasi cha asidi mwilini na namna na eneo lenyewe asidi ilipojijenga maumivu maalumu ya mwili hujitokeza. Maumivu hayo yanajumuisha; Kiungulia (heart burn)Maumivu ya moyo (angina)Maumivu sehemu ya chini ya mgongo (lower back pain)Yabisi (rheumatoid)Maumivu ya kichwa (migraine headaches)Maumivu katika kiunoMaumivu mbalimbali katika mishipaMiguu kuwaka motoHoma za asubuhi kwa kina mama wajawazito n.k   Maumivu mbalimbali mwilini Watu wengi siku hizi hawawezi kuishi wiki mbili au mwezi mmoja bila kumeza aina fulani ya  dawa ya kupunguza maumivu. Ni rahisi kuelewa namna gani maumivu ambayo hayajasababishwa na ajari au maumbukizo yanavyoweza kujitokeza mwilini. Viwanda vya madawa vinatumia mabilioni ya fedha kutafi...