Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kutoka Lisbon mpaka Milan: Mabadiliko yaliyotokea kwa Atletico Madrid na Real Madrid

Kutoka Lisbon mpaka Milan: Mabadiliko yaliyotokea kwa Atletico Madrid na Real Madrid

Picha
Real Madrid na Atletico madrid kwa mara nyingine tena watakutana katika mchezo wa kuamua yupo ni bora barani ulaya, hata hivyo mengi yamebadilika tangu mara ya mwisho timu hizi zilipokutqna katika fainali ya ulaya.  Miaka miwili na nusu tangu walipokutana Lisbon, timu mbili za Madrid wanategemewa kuwa na mabadilijo ya wachezaji watano au sita katika kila kikosi kwenye fainali ya jijini Milan. Real Madrid wana mabadiliko makubwa zaidi kuanzia kwenye benchi. Zinedine Zidane alikuwepo wakati wa fainali ya Lisbon lakini wakati huo alikuwa msaidizi wa Carlo Ancelotti lakini hivi sasa mfaransa huyo ndio kocha mkuu na anajua namna ya kushinda fainali – uzoefu ambao unaweza kuwa muhimu  katika mchezo wenye ukubwa wa aina hii.     Gwiji aa Madrid golikipa Iker Casillas hatimaye aliondoka baada ya kushinda ‘La Decima’ na mbadala wake akawa golikipa wa Costa Rica Keylor Navas ambaye amekuwa na msimu mzuri katika lango la Madrid. Kwenye safu ya ulinzi...