Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Nimesahau Habari za Shilole Kabisa- Nuh Mziwanda

Nimesahau Habari za Shilole Kabisa- Nuh Mziwanda

Picha
Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Jike Shupa' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye alishasahau habari za Shilole hivyo hata wimbo wake huo mpya hajamuimbia Shilole  kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wakihisi kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo huo.  Nuh Mziwanda akizungumza na eNEWS alisema yeye hawezi kumuimbia mtu mmoja wimbo na kudai kuwa yeye ameimba wimbo wa mapenzi ambao anajua utawagusa watu wengi ambao wamewahi kuumizwa na mapenzi na kuweka sawa kuwa yeye hajaimba wimbo huo kwa ajili ya Shilole.  "Mimi nilishasahau kabisa mambo ya Shilole na huu wimbo sijaimba kwa ajili yake bali nimeimba wimbo kwa ajili ya watu wangu lakini pia hata jina la wimbo huu amelitoa Alikiba mwenyewe baada ya kuimba Chorus" alisema Nuh Mziwanda.  Mbali na hilo msanii huyo ameonyesha kujutia yeye kuvuma zaidi kwa mikasa ya mapenzi kipindi cha nyuma na kudai kuwa ndiyo maana watu walikuwa hawawezi kumsikia sababu alikuwa na kiki nying...