Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WASINGEKUWA MASTAA BONGO

WATU 10 AMBAO BILA WAPENZI WAO, WASINGEKUWA MASTAA BONGO!

Picha
Na Hamida Hassan Ukijaribu kufuatilia utabaini kuwa, wengi ambao sasa ni maarufu, wamefanya mambo makubwa! Walikuwa hawajulikana huko nyuma lakini walipoingia kwenye muziki, filamu na fani nyinginezo kisha wakafanya vizuri, walijikuta kwenye orodha ya mastaa. Kwa hapa Bongo, wapo watu ambao wana majina lakini yawezekana wasingeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wale ambao tayari ni mastaa, wasingekuwa na umaarufu walionao leo. Ezden Jumanne Huyu fani yake ni ya utangazaji. Kwa wale wanaofuatilia mambo watakumbuka kuwa, kabla ya kuanzisha uhusianao na mtangazaji mwenzake Khadija Shaibu ‘Dida’, hakuwa maarufu.  Walipoanzisha uhusiano ndiyo habari zake na mpenzi wake huyo zikaanza kuandikwa na kujikuta akijulikana sana. Hata hivyo, utakubaliana na mimi kwamba, tangu ndoa yao ivunjike, kama vile ameanza kufifia hivi licha ya kuwa bado anaendelea kufanya vizuri kwenye utangazaji wake kupitia TV One.  Siwema Edson Ni binti wa mjini ambaye inadaiwa anafanya k...