Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya RAIS DR.JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI TANESCO

RAIS DR.JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI TANESCO

Picha
TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kufuatia uteuzi huo, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.), amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO kuanzia tarehe 31/5/2016 hadi tarehe 30/5/2019; 1.   Dkt. Samwel Nyantahe 2.   Dkt. Lugano Wilson 3.   Bw. David Elias Alal 4.   Mhandisi Stephen Peter Mabada 5.   Mhandisi Leonard R. Masanja Aidha, Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mb) amekamilisha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kuanzia tarehe 30/5/2016 hadi 29/5/2019 wajumbe  hao ni :     Bw. Abdalah H. Musa     Dkt. Coretha Komba     Bw. Felix M. Maagi     Dkt. Lightness Mnzava     Bw. John B. Seka Uzinduzi wa Bodi hizo utafanyika Ma...