Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya anayedaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva

Siri imefichuka! Sakata la muuza nyago (video queen) wa Bongo anayetajwa kwa jina moja la Irene a.k.a Lynn, anayedaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond 

Picha
Mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’. Stori: Waandishi Wetu, Wikienda DAR ES SALAAM: Platnumz’, limechukua sura mpya ikielezwa kuwa nyuma yake kuna mchezo mchafu anaofanyiwa mama mtoto wa msanii huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’. Diamond na Zari Imedaiwa kwamba, pamoja na Diamond kutumia nguvu kubwa kuwaaminisha mashabiki wake kuwa Irene ni mdogo wake bila kufafanua kivipi, bado madai kwamba anatoka naye yanazidi kushika kasi mithili ya moto wa kifuu huku yakiwa na ushabiki mkubwa katika mitandao ya kijamii. Diamond Platnumz AMANI LAIBUA Mrembo huyo ametumiwa na kundi linalodaiwa ni  Team Wema  lenye lengo la kumaliza umalikia wa Zari kwa Diamond.“….Kumbe Zari amefanyiwa mchezo mchafu….Irene amepandikizwa ili kumng’oa Zari kwenye himaya ya Chibu (Diamond). Irene ZARI ACHUKULIA POA “Mwanzoni Zari alichukulia poa tu kama ilivyokuwa kwa Kajala (Masanja) lakini kuna siku alihakikishiwa kabisa kuwa yule mtoto (Irene) a...