Fahamu Uhusiano Uliopo Kati Ya Unene & Uzito Kupita Kiasi ( Overweight & Obesity ) Na Tatizo La Ukosefu & Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.
Unene na uzito uliozidi ( Obesity ) ni miongoni mwa vyanzo na visababishi vikuu vya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, asilimia kubwa ya wanaume wenye unene na uzito uliozidi, wanakabiliwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. KWANINI WANAUME WENYE UNENE NA UZITO ULIOZIDI WANAKABILIWA NA HATARI KUBWA YA KUPATWA NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Wanaume wenye uzito na unene uliozidi wapo katika hatari kuu ya kupatwa na...