Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya RAPA NAY WA MITEGO AONYESHA MALI ZAKE ILI KUWAPA NGUVU VIJANA

RAPA NAY WA MITEGO AONYESHA MALI ZAKE ILI KUWAPA NGUVU VIJANA

Picha
  Msanii Nay wa Mitego Msanii Nay wa Mitego amesema mara nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyo miliki zikiwepo gari, nyumba hata pesa kwa lengo kuu moja, anadai anafanya hivyo ili kuwatia moyo vijana ambao wamekata tamaa. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe alitoka katika maisha magumu ambayo alikuwa hadhani kama angeweza kufikia mafanikio hayo lakini alipambana na kupigania mpka ameweza kutoboza. Akizungumza na eNEWS Nay wa Mitego amedai kuwa yeye si muigizaji hivyo hawezi kuwaonesha watu vitu ambavyo si vyake wala havimiliki kwani anadai kufanya hivyo anataka jamii, ndugu hata watoto wake wafahamu kuwa ana vitu hivyo ili hata siku akitokea amefariki ndugu na watoto wanakuwa wanatambua nilikuwa na vitu gani. "Unajua mimi nilitoka kwenye maisha magumu sana, Nay nilikuwa naokota makopo, vyuma, nilikuwa mkabaji lakini nilikomaa na kutafuta maisha mpaka sasa nina maisha yangu, na familia inakula vizuri, watoto wanasoma shule nzuri napata nachotaka mimi kwa waka...