Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mama Janeth Magufuli amshukuru TB Joshua kwa kuuunga mkono jitahada zake za kusaidia wazee.

Mama Janeth Magufuli amshukuru TB Joshua kwa kuuunga mkono jitahada zake za kusaidia wazee.

Picha
Mke wa Rais, Janeth Magufuli amewaomba viongozi kusimamia na kuhakikisha misaada yote inayotolewa kwa ajili ya wazee na watu wenye mahitaji maalumu inawafikia walengwa. Pia, alimsifu mhubiri wa Nigeria, TB Joshua kwa kujitoa katika kuwasaidia wazee na watu wasiojiweza nchini huku akiitaka jamii iige mfano huo. Mama Magufuli alisema hayo alipokuwa akitoa misaada katika Kituo cha Kaseka cha Wazee na Walemavu wa Ukoma kilichopo wilayani hapa Mkoa wa Mtwara. “Niombe viongozi waliopo hapa kuhakikisha walengwa wanafaidika na misaada wanayopata, tayari nimepata malalamiko mengi kutoka kwa Wasukuma wenzangu kule Mwanza, yanavunja moyo. ‘‘Naomba watu wasiuze wala kuiba ni dhambi kubwa ukichukua chakula cha mtu mwenye mahitaji na asiyejiweza hiyo laana itakufuatilia kwa sababu ni sadaka ishaombewa,”  alisema. Mama Magufuli kwa kushirikiana na Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa walikabidhi misaada mbalimbali ikiwamo vyakula, nguo, saruji, vitanda na magodoro amba...