Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Huu ndio ushindi wanaotakiwa kushinda Man United vs Bournemouth ili kufuzu Champions League

Huu ndio ushindi wanaotakiwa kushinda Man United vs Bournemouth ili kufuzu Champions League

Picha
Wakati mchezo wao dhidi ya Bournemouth ukihairishwa kutokana na tishio la bomu katika dimba la Old Trafford – Manchester United wamepata habari mbaya zaidi kutokana na matokeo ya mchezo wa Man City na Swansea.    City wakiwa ugenini leo dhidi ya Swansea wamefanikiwa kupata matokeo ya sare ambayo yamewahakikishia nafasi ya kufuzu kucheza michuano ya ulaya mbele ya wapinzani wao United ambao nao walikuwa wanaivizia nafasi hiyo.    City baada ya sare ya leo wamefikisha pointi 66 ambazo ikiwa Man United wataifunga Bournemouth katika mchezo wao utakaochezwa hapo baadae utawafanya wapinzani hao wa Manchester kuwa sawa kwa pointi lakini tatizo kwa United litakuja kwenye suala la tofauti ya magoli. Itawahitaji Manchester United kushinda kwa ushindi mzito wa 19-0 vs Bournemouth ambao mchezo wa kwanza waliifunga Man United. Jambo hilo ni gumu sana kutokea kwenye ligi ya Uingereza hasa kwa kikosi hiki Manchester United ya sasa chini Louis Van Gaal – ikitokea ...