Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Dalili 3 Dhahiri Za Kuonyesha Kuwa Hatakuwa Boyfriend Wako

Dalili 3 Dhahiri Za Kuonyesha Kuwa Hatakuwa Boyfriend Wako

Wanawake Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya nguvu. Deti ya kwanza inapita kuwa ya tatu, mwezi hadi miezi mitatu inawapita. Inapita miezi mitatu mkiwa pamoja na huyu mwanaume uliyemzimia, lakini kuna kitu kuhusu mahusiano yenu ambacho kinayafanya mahusiano yenu yasiwe ya shangwe tena. Imepita miezi kadhaa tangu mtoke deti ya kwanza lakini bado hajakufanya wewe kuwa wake. Inafikia pahala flani unaanza kujiuliza iwapo umekuwa ukipoteza muda wako na mwanaume huyu ama bado ni mapema kukata tamaa. Hili ni jambo la kawaida linalojitokeza kwa wanawake ambao ni single, na ni rahisi sana kuliepuka. Mwanaume ambaye anajitolea kwa mahusiano huwa anaonyesha dalili mwezi wa kwanza wa kudetiana, hivyo lazima uzijue dalili hizi bila kupotezewa wakati wako. Mwanaume ambaye anajitolea kwa mahusiano utamjua tu, hii ni kwa sababu atafanya juu ...