Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HAWA NDIO MASTAA WALIOFANYA SIRI KUFICHA MIMBA

HAWA NDIO MASTAA WALIOFANYA SIRI KUFICHA MIMBA

Picha
  Jenifer Kyaka. MIONGONI mwa vioja vilivyotikisa mwaka 2015 ni kitendo cha baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuyapiga chenga madai ya kubeba mimba na kuzaa huku wengine wakificha watoto wao, kwa kutotaka waonekane sura pasipo kuwa na sababu za msingi. Katika makala haya, yanachambua baadhi ya mastaa waliofanya hivyo; AUNT EZEKIEL Staa huyu asiyechuja, gumzo kubwa lilianza baada ya kupewa ujauzito na dansa wa staa wa Bongo Fleva, Diamond aitwaye Moze Iyobo. AUNT EZEKIEL. Katika kipindi chote cha ujauzito wake, Aunt alikuwa akijianika lakini tafrani ilizuka baada ya kujifungua na kuanza kumficha sura mtoto huyo kukwepa macho ya watu na hata alipokuwa akimuanika kwenye mitandao ya kijamii bado aliendelea kumficha sura. ODAMA Jina lake kwenye hati ya kusafiria ni Jenifer Kyaka. Staa huyu naye ni miongoni mwa mastaa ambao jambo la kuwaanika watoto wao limekuwa ishu kubwa. Tangu ajifungue mtoto wake mwaka jana, hadi sasa hajathubutu hata siku moja kumuanika na hata mzazi mwen...