Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi ya kumtongoza mwanamke kiurafiki

Jinsi Ya Kumtongoza Mwanamke Kwa Njia Ya Kirafiki

Picha
Kutongoza 1. Kuwa mwanaume bora Katika dunia tunayoiishi sahizi kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke bora zaidi. Hivyo kutaka kuwa na mwanamke unayempenda lazima uwe bora kuliko wengine. Hii ni kuanzia tabia zako, vile unavyohusiana na wengine, miondoko yako, unadhifu wako nk. Kuwa mwanaume bora hakuna njia ya mkato. Lazima ufuate mkondo ambao wengi hawaufahamu. 2. Msifu vile inavyotakikana Leo amekuwa tofauti kimwonekano?, ama leo amebadilisha hairstyle yake? Kama umependezwa na mwanamke mara nyingi utakuwa unanotice mabadiliko yeyote ambayo ameyafanya hivyo chukua nafasi yako kumsifia vile inavyotakikana. Well, sasa kama unataka kumvutia ili umuingize katika mipaka ya kudeti unafaa utumie maneno ambayo hatoyasahau. Usitumie maneno ya kawaida. Jaribu kutumia maneno ambayo hayatasahaulika kwake na ambayo ni ya kibinafsi bila kuvuka mipaka. Mfano wa maneno kutumia: Hilo shati ulilovaa ni zuri – linakufanya unapendeza zaidi ya tausiMarashi mazuri – leo unanukia utam...