Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya FAIDA NA MADHARA YA KULA PILIPILI MANGA  

FAIDA NA MADHARA YA KULA PILIPILI MANGA  

Pilipili manga ni mbegu ndogondogo zenye umbo la mviringo zenye rangi nyeusi.mbegu hizi hutoa ladha ya muwasho mfano kama pilipili na kutumika sana majumbani hasa upande wa jikoni, wapo wanaotumia kiungo hiki kikiwa kizima au kimesagwa inategemea na mtumiaji anavyopendelea.   Wanawake wengi wa pwani hutumika pilipili manga  katika vyakula ili kunogesha na kukipa ladha iliyo nzuri chakula, kitoweo hata kinywaji. Pia wapo wanaotumia pilipili manga kuramba endapo watahisi kifua kinawabana. Licha ya kuwa pilipili manga si dawa ya kifua ila kwa mazoea tumeipa nafasi pilipili manga kuwa ina uwezo wa kutibu kifua kama ifanyavyo tangawizi.   Faida ya matumizi ya pilipili manga kwa wanawake.   Pilipili manga ina faida kubwa kwa mwanamke ambaye ameshajifungua, hivyo ni vema uji anaokunywa uwekwe unga wa pilipili manga kwani humsaidia kutoa uchafu utakaokuwa upo kwenye kizazi ambao umebakia.   Humuondolea maumivu ya mwili pamoja na tumbo, humsaidia kutoshika mimba katika k...