Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Zawatoa Povu Mashabiki wa Wema Sepetu
Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu. Picha hizo ziliibua hisia tofauti kwa mashabiki wa Wema Sepetu na kuanza kumshambulia Gigy. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki hao. Izack_da_real Wee kilasiku wakudandia vya watu? Embu kua mbunifu tafuta wako @gigy_money Jessy_jay_jacob Mmmmmh unavyo ji sex sisha kwa @idrissultan kisa kashikilia icho kiuno 😂😂😂😂😂 umeshia kupata manukato yake tu hapo😂😂😂😂😂 Aishafadhir Jmn wa2 mnajua kukuza vtu khaaa….pic tu mnatoa maneno yote hayo jmn waachen binadamu wenzenu waish maisha yao jmn mnakera kwakwel…..idrs akpga pic na grl s bas wanamahusiano ?wema akpga pic n boys bas wanamahusiano ?2seme nyie hamna urafik na tofaut ya jnsia zenu? ...