Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAZISHI YA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI YALIYOFANYIKA MAKABURI YA KISUTU

MAZISHI YA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI YALIYOFANYIKA MAKABURI YA KISUTU

Picha
Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akimfariji Ankal Issa Michuzi. Issa Michuzi (mwenye kofia) akifuatiwa na Rais mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, kulia kwake ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe Ombeni Sefue. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Peter Ilomo wakati maziko. Mwili wa marehemu ukiingizwa katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es salaam leo tayari kwa kuswaliwa kabla ya mazishi. Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimfariji baba wa marehemu Ankal Issa Michuzi.  Mama wa marehemu (aliyevaa nguo nyeupe) akiwa na ndugu wa karibu wakiomboleza.  Baba wa marehemu akiwa na viongozi wa dini wakiombea mwili wa marehemu dua. Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na ndugu wa marehemu.  Baba wa marehemu Ankal Issa Michuzi akipata chakula. Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwasili msibani Wazo hill akiwa na baba w...