Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid? Zidane karudia maneno haya

Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid? Zidane karudia maneno haya

Picha
Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye headlines baada ya weekend kufunga goli nne peke yake katika ushindi wa goli 7-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo, goli hizo hizo alizofunga Ronaldo hakuzichukulia poa kocha wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane. Zidane ambaye amejiunga na timu A ya Real Madrid kuchukua nafasi ya Raphael Benitez, amezungumza