SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 29 Mei 2016

T media news

MKALI ALI KIBA AZUNGUMZIA WIMBO ALIOFANYA NA NAVY KENZO.(SOMA HAPA)

Alikiba amezungumzia wimbo mpya aliofanya pamoja na kundi la Navy Kenzo.

Akiongea Ijumaa hii kwenye Friday Night Live ya EATV, Kiba alisema:

“Yeah nimefanya kazi na Navy Kenzo na ni wimbo wa pamoja nina imani ni kazi ambayo itafanya vizuri ikitoka. Na pia Abdu Kiba anaachia wimbo wake siyo muda mrefu halafu baadaye kuna wimbo utakuja wa mimi na Abdu Kiba. Mashabiki wasubiri tu kazi. Na pia baadaya ya Mwezi wa Ramadhan nategemea kufanya Aje Tour Mungu akipenda,” alisema Alikiba.