Breaking News: Daladala na Fuso zagongana Uso kwa Uso watu wengi wadaiwa kufa


Ajali mbaya yatokea asubuhi hii katika maeneo ya barabara ya Mandela Road karibu na daraja la matumbi Tabata. Ajali hiyo imehusisha Daladala ya Gongo la mboto ambayo ilikuwa na abiria wengi ndani yake pamoja na Roli lililo kuwa limebeba ng'ombe.

Mpaka sasa idadi ya watu waliokufa haijajulikana ila watu wengi wamepoteza maisha..

Tutaendelea kuwajuza kilahabari tutakayo ipata...












Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA