Faiza Ally Awatukana Team Wema.."Team Wema Wengi Wapumbavu - Mimi Siwezi Kupenda Kuwa na Team za Kipumbavu"

Mrembo wenye Vituko vya kila leo Faiza Ally ameamua kuwafungukia team Wema Sepetu kwa Kuandika Haya:

Faizaally_ Team Wema wengi wapumbavu - mimi siwezi kupenda kuwa na team za kipumbavu ! Pumbavu zenu wote ....... Mnaponda watu bila mnazalilisha huyo Malkia wenu nae anaonekana Kama nyinyi ! Kweli mshamba mshamba - mshamba belongs uswahilini bora mngekuwaga hata mna point basi #ujinga mtupu..... Hivi account za kina Malkia Malkia wote wajinga sijui wanatafuta followers kutumia picha za Wema ? But i swear to god nisinge penda kuwa na stupid team at all - Ndio Maana mnafanya anatukanwa - mmeanza kuchokonoa matako ya zari sasa mwisho wameanza na watu kuchunguza yake and u know why ? Because of the stupid team that she has - Kama mm ningewaambia yoyote ana taka kuwa team yangu awe na adabu za kuheshimu wengine Na maisha Yao ! Na yoyote mwenye account ya kutukana watu asitumie picha zangu ! And there for kidogo ange kuwa hata na watu wa manna kabisa hata wa kumwambia ya Maana zaidi ya Hawa wajinga wa Insta wanao jiita team Wema ......

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA