BREAKING NEWZZ….WATU WAISHAMBULIA CLOUDS TV KWA KURUSHA KIPINDI CHA MAHOJIANO NA MWANAUME TATA
Jana usiku kituo cha televisheni cha Clouds kupitia kipindi cha Take One kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema kilirusha mahojiano na shoga mmoja maarufu kwa jina la Kaoge. Haya ni maoni ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu kipindi hicho.
S
Maoni
Chapisha Maoni