Fisi Amng'ata Mtoto Afrika Kusini

Maafisa wa mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini wamewashauri waweni kuwa makini, baada ya fisi kumshambulia mtoto wa umri wa miaka 15 alipokuwa amelala ndani ya hema katika mbuga ya Kruger. 

Msemaji wa mbuga za wanyamapori William Mabasa, aliwashauri wageni kuchukue tahadhari kila wakati, kwa kuwa kuna wanyamapori wanaowazunguka, na kuwataka wahakikishe kuwa hema zao zimefungwa vizuri. 

Mtoto huo alifanyiwa upasuaji ili kupata matibu kwenye mdomo, kutokana na majeraha aliyoyapata kufuatia shambulizi hilo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA